RSS Feed
Home My Biography Contact Me

Monday, October 5, 2009

HAPPY BIRTHDAY ZAMARADI MKETEMA





jana TAREHE 4/10 ilikuwa ni birthday ya mwanadashosti zamaradi ambapo anafikisha miaka kadhaa aliyokataa kuitaja.lakini wengine tumesharehekea leo hii ndani ya mjengoni. HAPPY BIRTHDAY ZAMARADI

3 comments:

Anonymous said...

Mambo vipi mdada mjanja? Mimi naitwa Eric ni mjanja kutoka Mor town... nampongeza sana huyo mwana dadiva Zamaradi kwa kufikisha miaka holaah!!!! Hivi ni kwa nini haja2ambia amefikisha miaka mingapi bana! Ujue amenikata kivileeeeeeee!!!!!! aaaaaaaaaaaagh!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

mpe sana mwadada huyo mwambie akuwe na ustaarabu busara na awe mkarimu namtakia kila la kheri katika birthday yake mdau stokonyoko aka sweden

Anonymous said...

Dada Zamaradi hongera sana me nakutakia maisha mema na yenye baraka zote
its me Ramadhani Bendu

Post a Comment

Followers