May 1, 2010

NANI ALIANZISHA JINA BONGO FLEVA???????JINA HILI LIMELETA UTATA SANA NAOMBENI COMMENT ZENU NANI KAANZISHA JINA BONGO FLEVA NA ILIKUWA NI KWAAJILI YA NYIMBO ZA AINA GANI.

CHEGE NA TEMBA WAONGOZA CELLO MWEZI WA TANO


temba

chege
kutoka selo ya bongo fleva mh temba na chege wameongoza kwa kura nyingi na kukamata nafasi ya moko na dude lao MKONO JUU waliomshirikisha WAHU kutoka Kenya.ngoma zingine zilizokuwa cello ni pamoja na danger ya fid q, jos plus jos ya ya joslyn na jos mtambo