Apr 1, 2011

CRAZY FURAHI DAY LEO ILIKUWA SOO HOT

haapa ndio alianza mtu mzima Dj Bulla

b12 na Ombeni

Baba johnny

wengi wliibuka studio kwa mzuka waliokuwa wakiuskia

Steve b akiwa kwenye one and two

Ncha kali akiraudi pale dj bula alipopiga Prakata Tumba

raaaaaaaaaaa

hizi ndio mashine zilizokuwa zikitumika

B12 akichonga na adam mchomvu pembeni akiwa ni super producer wa Power breakafast Jimmy Jams

ombeni kutoka g5 click hallaaaaaaaaa

B12

ncha kali akimpaisha dj bulla

baada ya stebe b na dj bulla kufanya mambo yao ncha kali nae akasimamia show as u can see