Aug 1, 2011

BREAKING NEWS ....DUKE APATA AJALI

Kwa story nilizozipokea jana ni kuwa producer wa M lab duke amepata ajali ya gari na amevunjika mguu. nimejaribu kumpigia sim hazipatikani, ntakufahamisha punde ntakapopata habari zaidi .

SOLD OUT FIESTA 2011 HAIKUWA NA MAJOTROOOOOOOOO


kutoka kulia ni adam mchomvu, b 12 na fe'eh

ludaaaaaaaaaaaaaaaaaa

\

nyeusi on the stage kushoto ni Joe makini, Nikki wa pili, G nako na Lord eyes mwendo wa swagga za kaptura

country boy na stamina

shaaaaaaaaa
watu zaidi ya elfu thelathin walijitupia pale kati kwasababu hakukuwa na majotroooo

wasashow love to each other

pale tiptop walipopanda sasa

hata kwa yule aliekuwa mbali na stage alipata nafasi ya kushuhudia kilichokuwa kinaendelea

msanii anaeichipukia kutokaTanzania House of Talent (THT) Rachel akiwa na msanii kutoka morogoro Dayna pamoja na msanii mwingine kutoka zanzibar Saynag

tuzo za heshima zilipotolewa kwa wasanii waliokuwa na mchango mkubwa ndani ya miaka kumi tangu fiesta kuanzishwa. pichani ni Godzilla akimkabidhi Nature tuzo hiyo

Godzila alipopanda kuperfom verse yake na mwanadada Mwasiti

Mr blue licha ya kuwa ngoma yake ya Tila lila ni mpya sana lakini shangwe za hatari alipoichana ngoma hiyo

Branaba kutoka THT akimkabidhi tuzi Dojo

ha hah aaaaa palikuwa na utaaaaaamuu Jb wa mabaga alipopanda na nature hatariiiiii

moyo wa subira umemfikisha hapo alipo msanii Linex

Lina on the stage

tuzo nyingine ilikwenda kwa mwanadada lady jay dee ambapo shemejiii Gadna G Habash alimpokelea kwa niaba

Ngosha the swagga don


HABARI NDIO HIYOOOO MWANA FA

Misifa mwenyewe sasa Dully Sykes

Diamond

Kutoka kiumeni ni Chege na Temba


raisi wa masharobaro

msanii Ben Paul i love eveything about him jamani from his music to the way he behaves. big up sana

kutoka moro mpaka dar mtu mzima Belle 9 aliuwaaa

ha hah aaaa Bekha masaspenda

yaani ni full haina majotrooooo