RSS Feed

FETTY AND FRIENDS

FURAHIA MIZIKI YETU


Myspace music player

Saturday, January 28, 2012

IZZO B ATANUKA NA DUKA LAKE JIPYA JIJINI MBEYA

wiki hii itakua ni nzuri sana kwa msanii anaeiwakilisha Mbeya, mzee wa kuongea na mshua, Izzo B atazindua duka lake jipya jijini mbeya maeneo ya soweto stand ya kuelekea mjini."duka langu linaitwa
IZZO BIZNESS CLASSIC WEAR alisema Izzo"..Hongera zake za kutosha, keep it locked

3 comments:

Anonymous said...

off line kwann

Anonymous said...

hongera tho unatakiwa utoe hilo bango la mbao, make it classic,we c nakuona sana cnza hauoni wauza nguo wenzako wa cnza mabango yao, au sababu duka liko mkoani basi ni mambo ya local kwenda mbele, make it classic as it reads, ki roho safi lkn.........

Anonymous said...

hongera sana mkubwa mana inaonyesha unasonga mbele katika hili gem

Post a Comment

JIUNGE NAMI KWENYE UPANDE WA EMAIL AU SIO