Nimepita pita kwenye mtandao wa jamii na kukutana na swali hili kutoka wall post ya mzee wa bongo records.
P-Funk Majani: kwanini Wasanii waki bongo wanategemea sana Ushirikina iliwafanikiwe?
LIL WEEZY CANCELS SOME SHOWS ON AUSTRALIA FOR AFRICA
3 months ago



8 comments:
Kwa Upande wangu mi naona hawajiamini pia utakuta wamevaa mipete ya rangi za ajabu vidoleni au shanga shingoni.
Kwa hili mi nasema co kwa wasanii tu but for ever ppo in tz we trust hiyo cng na co wasanii pekee
atuambie yeye ni kwanini? yeye si ndo producer wao
Duuuuuuuuuuh iyo ni upungufu wa utashi coz ata kwenye vitabu vya dini wana2kataza izo mambo
Kuna ule usemi wa "kujuana kwa vilemba". Sasa yeye P alihakikishakikishaje kuwa wasanii ni washirikina?
ndo maan hawakai sana m2 anatoa nyimbo nzuri leo lakin baada ya ck 2 anachujaaa!
hawaamini katika kufanya kazi kwa bidii
hilo swali aanze kumuuliza juma nature ambaye hana jipya kwenye hii gemu ila kwenye show akipanda tunachanganyikiwa
Post a Comment