Popular Posts
-
Leo hii kupitia mtandao wa Instagram, Pttiman alitupia picha akiwa baba yake mzazi, mzee Sepetu, huku pembeni akiwepo mtu wake wa karibu ...
-
"mimi jana nilienda maisha mida flani kama ya saa tisa hivi sawa, nikamuona yule Nikki mbishi, halafu nikaona aaah sijawahi kump...
-
Leo hii kupitia Clouds Fm, Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo kutoka kituo hicho, ameongelea na kuamua kutoa ufafanuzi kuhusu mashambuliz...
-
Ikiwa ni mda mchache tu baada ya kupost picha zake zenye kuonyesha wazi sehem za tumbo na kifua kupitia Instagram, picha ya wema imeone...
-
Msanii Linex ambae amejizolea mashabiki kibao kutokana na umahiri wake katika kutumia sauti yake, jana amemliza mama yake mzazai pale ali...
Blog Archive
-
▼
2012
(1627)
- December (172)
- November (219)
- October (243)
- September (184)
- August (125)
- July (105)
- June (100)
- May (105)
- April (123)
- March (151)
- February (74)
- January (26)
-
►
2011
(520)
- December (53)
- November (52)
- October (60)
- September (66)
- August (88)
- July (15)
- June (16)
- May (30)
- April (31)
- March (48)
- February (27)
- January (34)
-
►
2010
(429)
- December (26)
- November (29)
- October (18)
- September (26)
- August (49)
- July (26)
- June (53)
- May (53)
- April (44)
- March (46)
- February (31)
- January (28)
| Home | My Biography | Contact Me |
Saturday, April 7, 2012
CHANZO CHA KIFO CHA KANUMBA CHA ELEZWA
KWA MUJIBU WA MDOGO WA MAREHEMU STEVE KANUMBA, ALISEMA KUWA ELIZABETH MICHAEL MAARUFU KAMA LULU ALIKUJA NYUMBANI KUKAWA NA KAUGOMVI AMBAPO WAKAINGIA CHUMMBANI WAKIWA HUKO BAADA YA MUDA,LULU ALITOKA NA KUMUITA YEYE KUMUAMBIA KANUMBA KAANGUKA, YE ALIPOENDA AKAMKUTA KAANGUKA NDIO AKAENDA MUITA DAKTARI WA KANUMBA AMBAPO ALIPORUDI HAKUMKUTA LULU, LAKINI HADI TUNAVYOONGEA LULU YUKO POLISI OSTERBAY KWA AJILI YA MAHOJIANO NA POLISI.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog Archive
-
▼
2012
(1627)
- December (172)
- November (219)
- October (243)
- September (184)
- August (125)
- July (105)
- June (100)
- May (105)
- April (123)
- March (151)
- February (74)
- January (26)
-
►
2011
(520)
- December (53)
- November (52)
- October (60)
- September (66)
- August (88)
- July (15)
- June (16)
- May (30)
- April (31)
- March (48)
- February (27)
- January (34)
-
►
2010
(429)
- December (26)
- November (29)
- October (18)
- September (26)
- August (49)
- July (26)
- June (53)
- May (53)
- April (44)
- March (46)
- February (31)
- January (28)



5 comments:
please lulu asichukuliwe kama chanzo cha kifo cha kanumba ila kanumba achunguzwe vizuri labda alikuwa na matatizo mengine bila kujua jamani.rip kanumba
ebhana kwani huyo chick ndo kamuua tuseme?
hapo hamna mjadala sister du lulu yuko hatiani
tumepoteza jembe la filamu tz ,pole lulu hayo ndo maaisha inkubidi uombe mungu akusaidie na janga hilo.by paul john a.k.a pajo/magomeni
jamani kwanini polisi wamshikilie lulu peke yake wakati mdogo wake kanumba pia alikuwepo eneo la tukio baada ya lulu kuondoka na alie kuja kusibitisha kifo ni daktari/? na lulu alipo toka chumbani alimuita mdogo wake kanumba na kumwambia kuwa kaka yake amedondoka?/ kisha akaishia zake./ kilicho endelea nyuma anajua mdogo wake baadaye aka muita daktari? tujiulize lulu alipo ondoka nyuma kiliendelea nini/?? na nani alikuwepo ?? na kwanini tuhamini maneno ya mtu bila kufanya uchunguze/?? hapa nilitalijia na mdogo wake kanumba naye aisaidie police sio lulu peke yake/??samahani kama nitakuwa nime wakosea watanzania wenzangu lengo langu ni kujifunza>??? na kupanuana mawazo na watu/?? sio kumuhukumu mtu kwani mimi sio mahakama amani itawalale mioyoni mwenu@ tuko pamoja
Post a Comment