Sep 23, 2012

RECHO ATOA UFAFANUZI JUU YA PICHA HII

Jana kupitia mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hii kila kona ya mitandao hiyo, huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali mengi na wengine kudai kuwa inawezekana kuna watu tu wameamua ku edit picha kwa madhumuni ya kuwachafu wasanii hawao ambae ni Lina kushoto, Recho kulia na Diamond.
kupitia simu tumefanikiwa kumpata Recho ambae yupo mkoani Iringa kwa ajili ya show ya leo na haya ndio aliyoyasema.

"hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
tulikua sehem to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"
msikilize hapa chini

100 comments:

 1. duuuuh diamond pale kati,mikono yake imeshika wapi vile.....?lainiiiiiii kama unanawa vileeeeeeeeee......ningekuwa diamond mtoto recho nisingemuacha hvhv.............

  ReplyDelete
 2. Daaaaaaaaah aibu gan hiiiiiiii,,ila wabongo kwa kujtetea hatujambo,,,

  ReplyDelete
 3. hata kama ni kijiweka sawah ndo jamaa ashike matiti yote mawili la recho na linna at the same time....??????

  ReplyDelete
 4. Ameeleweka ila dzain kama alivyokuwa akiongea alijiamini sana ndio maana binafsi naamin hz picha walikusudia ng sio kwamba bahati mbaya kama anavyodai>>>>>Joshua Turuka 4rm zero planet mbeya......

  ReplyDelete
 5. mpuuzi huyu binti, yaani hivyo ndo bwana Almasi alikuwa anajiandaa enh! baada ya kuiandaa akakaae na kuwashika wapi na je wao vilevile ndo walikuwa wanajiandaa au ndo tayari ndo pozi walishakaa?

  ReplyDelete
 6. Kama bahati mbya mbona unasema mlifanya kwa ajil yenu?? and nyie c kioo cha jamii?? Bs na miziki yenu rekodin mlikilize makwenu...achen kuiga kuiga mambo yasiyo yakwenu

  ReplyDelete
 7. duuuh kumbe modo na jeans zinaficha mengi sasa diamond hiyo miguu au kunii?

  ReplyDelete
 8. Heeh! Jamani Da' Fetty hebu niambie huo ni mguu wa kiti au mtu!?Kwa maana cmu nayo2mia inamawenge con vzur.labda we unaona vzur uniambie.we unatumia computer kwa maana? Mmh!

  ReplyDelete
 9. HEEH! JAMANI FETTY!? HUO NI MGUU WA KITI AU MTU!? MMH! KWA MAANA NI HATAREE!

  DADA ZANGU? JARIBU KUYAONEA MAUNGO YENU AIBU!

  ReplyDelete
 10. Lakin kumbuka nyie ni kioo cha jamii sasa poz gani iloapo.

  ReplyDelete
 11. Tumeona kama machokoraa na ziwa la recho nnje ugoko wa diimond kama mbuz na mlokole linah mmj

  ReplyDelete
 12. daaaaaaaaaaaaaaah dimond tafuta hata nyamanyama za mbuzi na dokta akufanyie operesheni aongezee kwenye hiyo miguu mana n sawa na miguu ya stuli

  ReplyDelete
 13. Sio poa kabisa Kama mlikuwa ni for fun why mlikubali kupiga picha it mean mlipenda kioo cha jamii au cha upotoshaji

  ReplyDelete
 14. Sio poa kabisa Kama ilikuwa ni for fun kwanini mlipiga picha hicho sio kioo cha jamii Bali cha upotoshaji

  ReplyDelete
 15. jipangeni, mlikuwa mnajiandaa awashike ikulu, kumbe mavazi yanasitiri eeeh! Maana hiyo miili

  ReplyDelete
 16. Mh ama kweli editing zinasaidia mh wakipaka mekap utagikil malaika kumbe vifurubwindo achen kuiga mambo ya ulaya nyie vinuka mkojo tuu hata kama uba hela dimond em tulizana huko mfyuuuuuuuuuiiu

  ReplyDelete
 17. dah noma sasa kwa hiyo mukiwa munaogelea ruksa kushikana chuchu daaaah

  Duh alaf ndo kwanza alikua anajiweka sawa duh noma

  #samahan lakini

  ReplyDelete
 18. Diamond hizo gozi vp mbona zimekomaaa hvyo

  ReplyDelete
 19. acha uongo huwez sema alikua anajiandaa wakati kawashika kabisa wanawake especially wasani wa kibongo baadhi yenu mnajidhalilisha hamtambui umuhimu wenu wala hamjitambui

  ReplyDelete
 20. shenziiiiiiiiii kabisa it is not our culture

  ReplyDelete
 21. sasa na huko kujibinua ni bahati mbaya jamani acheniuongo hiyo hali mmeipenda,acheni ushamba wa kujidhalilisha

  ReplyDelete
 22. APO DIAMOND AKITAKA KUWALAMBA WOTE YANI KIULAINI COZ MACHIKI WANAONEKANA WANA SHOBO...!

  ReplyDelete
 23. hao machokolaaa au?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 24. Kwa dizain hiyoo hatuna wasanii wa kuwakilsha nchi kuna mangononisti wa kuchafua nchi!!!! msanii kioo cha jamii ukifanya hivi unamaanisha nn??? Recho ulitoklezeaaa sasa kajipanga upyaaa umevurundaaa!!

  ReplyDelete
 25. hahahahahah unaona utaaaaaaaaaamu....

  ReplyDelete
 26. YAN WAMEWEKA POZI KABISA

  ReplyDelete
 27. Huyo recho mpumbavu kujiweka sawa ndo hata hakuona kama chuchu imechomoka au alitaka Diamond na Mpiga picha ndo wauone utamu peke yao ila wanajamii kama mimi na wengine tusiuone.???? IDIOT

  ReplyDelete
 28. pumbavu tu,mastaa wa bongo wa kike wengi marayaaaaaa 2,hata kukosea ndo ashike matt yote kwa pa1....aaache kudanganya jamii,hamna kingne zaid ya umaraaaaaya.NILIKUWA NAMKUBALI XANA RECHO NW USHABIKI NA NYIMBO ZAKE KWISHA...NIDHAM K2 MUHIM,JIHESHM UHESHMIKE...

  ReplyDelete
 29. mi nawaulize Lina na Recho kwani Shilingi ngapikushikwa hivyo?,coz walikuwa wa2 kibao lakini'Jamaa diamond ndo akaweza mudu bei,kwanini Diamond?

  ReplyDelete
 30. duh mi lyk the comments...

  ReplyDelete
 31. Mlikua mmetoka kuogelea au mlikua mnajiandaa kucheza filamu ya ngono????

  ReplyDelete
 32. ila fetty hiyo miguu ni ya diamond kweli???????????

  ReplyDelete
 33. msidanywe kuwa mtu kuwa staa ni lazima afanye mambo ya kipuuzi kama hayo,mbona kuna mambo mengi mnanayoweza kufanya yenye maana na yakawatangaza mastaa..!?Wasanii wa bongo tunawapenda ilasometimes mnaboa......

  ReplyDelete
 34. Kwa kweli mastaa wa bongo wanatafuta umaarufu kwa kufanya mambo kinyume na maadili.Inatia kichefuchefu kuona wanaendekeza mambo ya aibu sana kwani hata hayo mapozi ni ya kujiuzauza vile!Na wewe unayejiita almasi kutembea na wanawake wengi siyo sifa kwani kwa watu waelewa wanakudharau.TAKE CARE BRO|

  ReplyDelete
 35. Watajiju na kujibeba kha!

  ReplyDelete
 36. htarriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mtoyto wa uswazi na watoto wakali.....ila hiyo miguu kweli kaka alikuwa muuza mitumba kuhustle noumeeeeeeeeeeer..........balliaaaaaaaaaaaaaad

  ReplyDelete
 37. Diamond ataja afulie vibaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Elimu hana,anashobokea malaya........

  TUNZA PESA KAKA..................

  ReplyDelete
 38. Kweli madem wakibongo ni vicheche.mbona lina mweusi sana kwenye kiuno au ana mkanda wa jeshi.acheni umalaya washamba nyie...

  ReplyDelete
 39. mi nahic mastaa wa kibongo wajitahid kujiheshimu

  ReplyDelete
 40. wasanii wa bongo jaribun kujiheshimu Nelly akiwasema kwel mnachukia

  ReplyDelete
 41. daaaaaah hiyo miguu au tumiti twa mikaa maana ilivyo myeusi jamani hizi mekapu zinasaidia

  ReplyDelete
 42. any one hu can buy rechoz crap her..eti bahati mbaya,.biiiiiiitch

  ReplyDelete
 43. daah that iz iz big issue diamond miguu kama chelewa kitu cheusi anazidiku haribueverday huyo recho anatakakuakama wemamagazetini and linah canadaimlokole ndio maana amini kamubwaga aaaaaah ushamba na ukutaka usuperstar

  ReplyDelete
 44. Hii miguu au kuni? yaani diamond uso unang'aa.... miguu ka kuni dah.. kweli modo na jeans zinaficha mengi

  ReplyDelete
 45. Niitie mtoto akachume kiboko plzzzz!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 46. jamani tabia gani hizi wadada kujidhalilisha mh kiboko mnatia aibu hata kama ni ustaaaa co hivi kwa mtanzania

  ReplyDelete
 47. Hapo amna ata superstar mmoja,wote mafala tu hiyo sipicha ya kupiga eti wanajiada angalia macho yao umalaya utupu,mpate mifano kwa watu kama A.Y,LADY JAY DEE..ndo "MA REAL SUPERSTARS" DIAMOND achana na swimming costume miguu mibaya haswaa kama y mbuzi.

  ReplyDelete
 48. recho asituzuge wala nn,,hapo kila kitu kilikuwa kinaenda sawa.

  ReplyDelete
 49. Recho asituzuge wala nn,,hapo kila kitu kilikuwa kinaenda sawa.

  ReplyDelete
 50. mh!! me cna cha kuongea hiyo ni aibu 2 kwanza iyo miguu kama ya mbuz inaonekana imekomaa


  kinoma yan.

  ReplyDelete
 51. duu lina una mkanda a jeshi ama?na we diamondo unachopaka usoni paka na miguuni kaka manaa daaa......na wewe mjusi recho nina hamu na maziwa njoo nikunyonyeee

  ReplyDelete 52. me nimeipenda coz maduu wa kibongo wanashobo kwa mshikaji so awape mikasi dizaini ya cow boy (ngwair)
  ReplyDelete
 53. kioo cha jamii ilikua miaka hyo.... let them not be topics in our ears.. imebak m2 mwenyewe kujitambua 2, ukisema mambo ya kioo kwa hawa wasanii wa kijingajinga wa siku hiz itauma pande zenyu jombaa.. let their lives be personals and you do your things.. ni aibu kwako ila kwao imekaa poa

  ReplyDelete
 54. jamii ya siku hizi bado haijatambua jambo... JAMAN UMALAYA NAO TABIA ILA TU NI TABIA MBAYA, So kwa namna hiyo utakiona ni jinsi gani hicho kioo(wasanii wapumbavu wa kizaz hiki) ambavyo kina2onyesha uchafu.. ni kweli wasanii ni kioo cha jamii ikiwa na maana wanapaswakuifundisha jamii... mafundisho ndiyo hayo mnayopewa ss mwataka nn tena FRMOSHA@YMAIL@YMAIL.COM

  ReplyDelete
 55. maadili hakuna ebu jalibu kuchunguza kama imepigwa kwa bahati mbaya hakuna kitu kama hicho wao wamepiga picha,Ongera zao na uzungu wao uho

  ReplyDelete
 56. mtoto wa mchungaji. muulizeni ray c yu wapi.

  ReplyDelete
 57. dimond utawauwa watomb...................e hao wtt ndo wakat wako huuu

  ReplyDelete
 58. diamond weka nyama ya matako kwenye miti yako..... nyie madada mcrudie tena

  ReplyDelete
 59. ila hata iweje recho na linah hizo picha sio ishu hata mngekaa vip and diamond kaza msuli coz hbaba asingeutendea haki huo wimbo coz hajui anachofanya congratulation diamond

  ReplyDelete
 60. hatakam lakin waopia ndio walipenda, kwann aliwashika nao wakazimika. endapo pich isingenaswa ucnge wackia.

  ReplyDelete
 61. walivyopaukaaaaa! nyie mastaa igeni wenzenu mbele wanapaka lotion hata uogelee wapi hupauki like that.

  ReplyDelete
 62. JAMAA KAWASHIKA MAZIWA NA WAMEONA NI SAWA TU.... BUT DIAMOND KUNA KITU ANAPAKA USONI APAKE NA MIGUUNI PIA....

  ReplyDelete
 63. It is bull shit at all
  Sijategemea Linah kufanya hivyo, watu wa kwenu wakiziona hizo picha sijui watakuchukuliaje?
  Hasa kule Makete sijui wakiziona itakuwaje.
  You Guys be Carefully in you positions

  ReplyDelete
 64. Acheni ushamba masela nini kuwalaumu cha ajabu nini hapo?...maisha yanabadilika sio miaka ya tisini tena.... hii picha wamepiga kwaajili yao ila m2 kaivujisha kwangu hakuna cha ajabu

  ReplyDelete
 65. Ndo wakati wenu huu,muandae masimulizi kwa wajukuu zenu,mwenye akili anarithisha elimu,busara,hekima au mtaji,ila ninyi mmetuonyesha mlichorithishwa na mtakachorisisha.

  ReplyDelete
 66. Recho aache kuwadanganya watanzania...walikuwa wamejipanga kupiga picha ya hvyo. hawana hata aibu wanafanya ufuska hapo.... huyo diamond naye ajitahid kunywa supu ya makongoro coz vingwara vyake havielewek..

  ReplyDelete
 67. sio kudanganya tu bali ameongea upupu mtupu. Sio kila mnachoona watu wa mbele wanafanya lazima mgeze tuwaone mnaenda na wakati au ndo wajanja. Mnajidhalilisha na hata hatuwafurahii, ndo kwanza mnatutoka. Mmeboa sana na PUMBAAAAAAAF

  ReplyDelete
 68. Achaen uongo ,muone Diamond poz la hisia inaonyesha walijiandaa na walifikiri ni sifa kumbe ushamba wa maisha!

  ReplyDelete
 69. daaaaah hiyo miguu ya diamond utazan co ya celeb......

  ReplyDelete
 70. hiyo ni miguu au kuni???

  ReplyDelete
 71. usanii wa bongo hamna kitu, kwa nini wasiwaige waliowatangulia kama prof J, AY NA WENGINE WENGI?. HAO UMALAYA TU, Wanajiuza tu.

  ReplyDelete
 72. Kweli mtu unajidhalilisha halafu unasema ni bahati mbaya?jamani watanzania ni wapi wasanii wetu wanaelekea?Recho kwa hili unapaswa kujishusha na kutuomba mashabiki wako radhi na si kusema ni bahati mbaya.Mwalimu Kutoka Moshi-Rau madukani

  ReplyDelete
 73. mmmm wapi diamond aliwahi kuuguwa degedege alipokuwa mtoto............linah kiunoni amevaa shanga nyeusi...... recho wapi ububu nje nje biashara nini

  ReplyDelete
 74. kama mtu hajui kengereza asi comment kwa kimmombo tafadhali, mambo ya kujiaibisha humu...
  afu watanzania ndo maana hamuendelei kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... mtazidi kuishia hapo tu...
  changes begin with you... mmependeza and its part of fun too.. life is short and live it to the fullest when you can.. u only young once but old forever

  ReplyDelete
 75. haha recho na linah nyie ni washamba kweli jamani, kuna kitu kinaitwa swimming caps zinavaliwa kichwani wakati wa kuogelea afu shower caps wakati uko bafuni mnaoga..... eti nyie ndo ma super star hahahahhahahahhahhahaha hoi

  ReplyDelete
 76. ayo magot ya dimond sasa duuuu!

  ReplyDelete
 77. Recho huwezi hata kujieleza,yaani kama mlipiga picha inatosha kuwa mlipiga picha,point ya kuwa diamond alikuwa anajiweka sawa kwa kuwashika maziwa huo ni utetezi wa kitoto,alafu unasema hamkudhamilia kupiga picha hiyo,hivi ninyi watoto mnaakili kweli?yaani mmekalia dogo huyo alafu unasema ni bahati mbaya,siku ingine jifunze kujibu maswali unapohojiwa na wanahabri.Lakini kwa kumalizia kwani Diamond kuwashika maziwa kuna issue gani?kama watu wanaweza kukiss hadharani nini kushika maziwa bana,just try to be smart Recho msishituke vijimambo vidogo kama hivyo,Ila mimi huwa nachukia mtu ambaye hajiamni,unaposema ni bahati mbaya...unaonekaana una asili ya uongo...sema tu u guyz u decided to have funy,ts not bad tohave funy with ur friends ieeh!Ila Diamond jitahihidi kupiga gym hata ya miguu pia maana huko chini utadhani sio wewe broda..!hahahaaa anyways ts nice snap guyz.

  ReplyDelete
 78. Ww Linah cmlokole ww?? Kiuno cheusiiii au ndo njia ya ilio bize haioti nyasi, Kaka Diamond kumbe mapoda2 huo ugoko duh. Je ndo mna2fundisha nn jamii???

  ReplyDelete
 79. mnapotosha jamii ya kesho.....tuna watch wasanii mnafundishaje jamii kumbe mnapotoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 80. kwa kifupi huo unaitwa ulimbukeni

  ReplyDelete
 81. yani mm nafikiri diamond anafikiri ni usupasta kumbe ndo anajishusha kiwango,au kwa vile ajaenda shule,jamani elimu inasaidia

  ReplyDelete
 82. bwana platinum utawamaliza kaka

  ReplyDelete
 83. kujiandaa gani huko wakti konozz zinaonekana kutulia juu ya NYONYOOO... Afu mademu wenyewe wamefubaa utadhani wanakula nyama ya DIGIDIGI...Na wee mzee wa kutaka kulewa hizo ngoko(miguu) haifai kwa pensi tafuta pajama tu ufiche hizo fimbo bana....

  ReplyDelete
 84. duh..! recho huoni hata aibu kutudanganya wakubwa wako, sawa tukubaliane nawe.... ni bahati mbaya..! duh, ha ha ha ha ..!

  ReplyDelete
 85. duh hii ni obolojo yaani 2meanza iga mambo ya mbele ama kweli msanii kama kioo cha jamii ha2wezi kujiona sehemu zote.

  ReplyDelete
 86. Hao mablenti tuu hawana fact,wamekomaa na theory za ngono, nawe diamond ungefaa uitwe black oil,halafu huo mguu ka fito za ghala,acheni umalaya mtakufa mapema nyoo!

  ReplyDelete
 87. Jamani kati ya recho pale chini naona kama pumbu za diamond zimetokeza upande au hamuoni???labda ndio alipotaka kujiweka vizuri.angalieni muone

  ReplyDelete
 88. labda ndo utandawaz wenyewe.

  ReplyDelete
 89. hata km ila co fresh linah i thuoght unajiheshimu kumbe ua lyk dat daaaa maskiniiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

  ReplyDelete
  Replies
  1. maisha gan hayo Linah?

   Delete
 90. 2meshawazoea nyie mbuz,halafu mkiulzwa mara ooo! bahat mbaya,wap bana mna2zingua 2,yan kwa xaxa wasanii wote wa kke n machangudoa hamna jpya n wiz m2pu malaya wakubwa nyie

  ReplyDelete