Jan 7, 2013

PICHA YA WEMA SEPETU YAZUA GUMZO MITANDAO YA JAMII

Ikiwa ni mda mchache tu baada ya kupost picha zake zenye kuonyesha wazi sehem za tumbo na kifua kupitia Instagram, picha ya wema imeonekana kusambaa kwa haraka zaidi kupitia mtandao wa jamii "facebook" huku kila mmoja akitoa maoni yake kutoka na mtazamo wake. 
 Obedy Bernard Hakika Ney wa mitego hakukosea, makahaba wenye vwango wako bongo move. Wema ni mfano tosha usio pngika kwa hilo. Halafu inakuwaje mwanatme mwenye akili zako umshobokee kahaba kama huyu? Yaani zkitoka tunzo za khb bora tz huyu malaya hatakuwa na mpinzani.
 Timoth Kalavuze wema noma xnaa!!!
Hija Punch Boy Mbogo no one like you i love you wema sepetu waache waogee 2 kwamba wewr malaya kwangu wewe ni namba moja
Paul Shangal Hamna kioo cha jamii bali ktanda cha jamii
Shabbani Saidi daaaaaaaaa ujuwe dada zetu wana tabu sana naiyote kutaka kufosi kuwa maalufu kama watu wa mbele kumbe awajui kama wana jizalilisha kwani lazima uwe malufu na tama ina wapoza kk tuseme ukweli bwana
Mary Talalela usi judge na ku-coment bad about her mwache ahave funny nyie mnajua wake au magirlfnd zenu huwa wanafanya nini nyuma ya pazia ....? sibora wema .... i love u baby wema sana shoo what u have.
kupitia Instagram wema alipost picha hiyo ikiwa na maneno haya " gats to lose me a few more pounds"


85 comments:

 1. Ni mkali of-coz kama heroin kila aliyemjaribu hajui kilimtokea nn-alisema j-mo...

  ReplyDelete
 2. hapana u a good

  ReplyDelete
 3. Flora - Dar es Salaam. Me naona anaspritual husband anahitaji msaada wa maombi

  ReplyDelete
 4. Me naona anaspritual husband anatakiwa maombi ndicho kikubwa kinachomsumbua

  ReplyDelete
 5. Ila ametulia washkaji,hiyo ni fani yake hivyo yupo sokoni

  ReplyDelete
 6. johnko wa fetty zhe bestJanuary 12, 2013 at 10:55 PM

  aise wema ana body ya ukwefe kinyama au mnasemaje boy frend wake anafaidi kinoma tuache wivu huyu mtoto mzuri kinomaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 7. huu ujinga kubwa ila akili za kitoto.

  ReplyDelete
 8. dah.. wema ,,kama bidhaa usha exp

  ReplyDelete
 9. she is hot.........

  ReplyDelete
 10. achane kumuandama yeye tu hamuoni wengine

  ReplyDelete
 11. of course ana kitovu cha ukweli na tt huyo mtoto sijui huko chini mambo yake.

  ReplyDelete
 12. una kitovu mmtoto

  ReplyDelete
 13. kwakweli inatisha,mnaosema bigup angekua mwanenu au dada enu mgnejisikiaje? acheni ujinga

  ReplyDelete
 14. its difficult kujudge vibaya au vizur we need to take time kwanza kutathimin background yake, mazingira aliyolelewa pia akina nan waliomlea pia mazingira yanayomzunguka ndipo tunaweza kumlaum au kutomlaum tusiwe wepesi wa kuumia kichwa na maisha ya mtu wakat kila mtu kaumbwa kwa namna yake ndo maana wapo wanao vut bangi pia wezi so tumuache though mwisho wa siku nailaum jamii na media kabla ya sepetu all in all Tumuombee kwa Mungu.

  ReplyDelete
 15. Jamani Wema Wema ujue unamchukiza Mungu
  Please jaribu kuachana na picha kama hizo mpendwa

  ReplyDelete
 16. WEMA WA UKWELI MI NAMKUBALI XMA DIZAINI KMA RAIA WAMESHINDWA KUMUELEWA CIO KILA CKU MAJUNGU 2 UPANDE MWINGINE WATU MNATAKIWA KUMUELEWA MTU KIUNDANI KWANZA KABLA YA KUROPOKA..PUNGUZENI SHITI KWA HUYO MANZILOO..

  ReplyDelete
 17. INSHORT WOTE MNAOMDIC HAYAWAHUSU KILAMTU ANA MAISHA YAKE SO ANGALIENI YENU KAMA MNAJUA KUSEMA C MUANZE KUSEMAYENU ACHENI HZO BANA NADHANI MSG SENDING

  ReplyDelete
 18. cjajua maana anayomaanisha huyu mtera

  ReplyDelete
 19. WEMA UNATUABISHA SISI WANAWAKE WENZAKO

  ReplyDelete
 20. unatisha mtoto acha diamond alie tu

  ReplyDelete
 21. unatisha mtoto diamond akulili bure

  ReplyDelete
 22. hyo kawaida wangapi watu maarufu wanafanya hvo bana, acha aongeze umaarufu kwa style hii mana kwenye magazeti wameanza kumsahau

  ReplyDelete
 23. show wat yo mama gave u gal...........madem zenu hawana hiyo shape ndo maana mnamponda.................U ROCK WEMA

  ReplyDelete
 24. wema i really adore you but it has to come a tym uache usolo, umri unaenda tulia na ufanye mambo muhimu for yo future................yo image is ruined enough.,

  ReplyDelete
 25. mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 26. come suck a dick for a millionaire that's how it is for her!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 27. hana jipya skendo cio ishu hadhi ina drop unakuwaje we bishosti au uko kibisharia sema tupande dauuuuuuuuuuuh lolote lisizidi mil 19

  ReplyDelete
 28. mzury mzury tu huyo ni mtu anayejulikana wacheni ushamba jamani hamkui kiakili kila kitu mpaka muambiwe kha mwacheni nyie ya kwenu yanawashinda loh

  ReplyDelete
 29. Tusipende kutukana wakati yapo wewe unayoyafanya mazambi zaiddi na yasiyoonekana jambo la msingi ni "utambuzi"

  ReplyDelete
 30. ubinti pepo za KUSI huvuma kwa kasi sana!!!!
  laiti angeonngea na Bi.Kidude
  angejua aishi vipi!!!!!!!

  ReplyDelete
 31. kila kitu kina mda wake so kunakipindi kitafika hata weza kuweka picha km hizo kny mitandao pambafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.........

  ReplyDelete
 32. Inafaa kwanza apimwe akili ndipo tunaweza kujua tatizo lake nini? Pole Wema hujui utendalo....!

  ReplyDelete
 33. Fet, mi nawashangaa hawa wadada, yaani mtu akiwa staa tu ndo anaharibikiwa akili, kwanini Wema asiwe mzalendo auvae Utanzania na aipeperusha bendera yetu yenye rangi nzuri kwa kuvaaa kiheshima na kuonyesha mavazi ya kitanzania? wadogo zake wajifunze nini?

  ReplyDelete
 34. hana uzuri wowote wa kuonyesha uchi wake ulochoka, mzuri mzuri na wazuri wasemeje? hivi angekuwa dadako au mwanao ungesema mzuri na kufurahia ajianike kama huyu malaya, wanaume mna kazi ya ziada ya kuepukana na mitego kama hii. hapo juu kdg afadhali huko chini keshatoka makunyanzi hafai, jamani aibuuu.

  ReplyDelete
 35. Mhhhh atafute mtu wa kumshauri vizuri.. hata kama ni maisha yake.... mtu ni watu, basi asiwe mfano mbaya kwa wanaotaka umaarufu... maisha yake ndio, lakini cyo kwa style hii...

  ReplyDelete
 36. lyk WEMA lyk DIAMOND,, wakiwakosa kwenye nyimbo basi kwenye magazeti,, Facebook Twitter ndo viwanja vyao vya kufanya majina yao yabaki midomoni mwenu na fikrani mwenu.

  Mchomvu (Uncle wake Johnny) hapa.

  ReplyDelete
 37. wema mama umepgwa hali hujitambui o ulidhamiria dah haifai KUIGWAAA!

  ReplyDelete
 38. Nahisi ana mimba iangalieni vizuri hiyo picha.

  ReplyDelete
 39. huyo dem ni muuza k 2 hana lolote yupo matangazoni

  ReplyDelete
 40. Tusimlaumu sana mana masikini akipata ndo inakuwa bhaaaaas labda tuchunguze kwa alipotokea kama kaialisi hi tabia kamwe hawezi kuacha ila kama ni yy tu na upumbavuwake tuendelee kumkanya labda atabadilika.ila kwa ss mi namnga yesu

  ReplyDelete
 41. shez cute lkn teteteee

  ReplyDelete
 42. sio mpumbavu anajua anachofanya,,angekua hajitambui bas asingefanya ivo muachen..angekua anavaa masket ama magaun mngesema "uyu dada anashepu,mzur lakin anavaa kishamba" binadam mnajema nyie??????????wema kip t up!!

  ReplyDelete
 43. siku zote ukitaka kufanikiwa lazima utende mambo yanayompendeza Mwenyezi Mungu.ki ukweli wema aige kwa waganda mastaa wazuri kumzidi lakini kuna wakati wanamtukuza MUUMBA.je yeye ana nini cha zaidi mpaka ashindwe kumheshimu MUUMBA wake.kifupi ametokota.mimi ni mshauri mzuri anitafute nitamrekebisha.dunia ni kusaidiana hata kwa mawazo mtu anaweza kubadilika na kufuata njia iliyonyooka.JAMANI TUMUOGOPE MUUMBA.

  ReplyDelete
 44. WEMA ASALI SALA YA BABA YETU ALIYE MBINGUNI KILA SIKU MARA TATU NAAMINI ATAREKEBIKA.

  ReplyDelete
 45. ACHENI KUONGEA SANA KWANI PICHA INA UBAYA GANI? HUO USHAMBA KWA RAHA ZAKE NA WW UYO CYO KICHECHE, KAMTONGEZE ALAFU UCKIE HABARI YAKE, LOVE UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU WEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. ETI PENNY NAYE ANATAMBA DIAMOND ALAFU WEMA ATASEMAJE NA MHESHIMIWA,

  ReplyDelete
 46. yoooooote tisa, kumi wewe mtotoooo mrembooooooooooo uwiiiiiii wema weee daaaaaah

  ReplyDelete
 47. she s `so crazyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 48. Wema ww ni mbaya sana ila ujifaham, wanaokupa kichwa kuwa upo cute wanakudanganya. unawadhalilisha sana wazz wako hasa mama yko, muonee huruma jirekebishe. Ili atembee kwa aman kuliko sasa ananyooshewa vidole yule ndo mama wema, oho yule wema kahaba! magazet! diamond! acyevaa chupi! mmmh!

  ReplyDelete
 49. ndo maana ya kuwa celeb. anawakilisha bongo. so ndugu jirani wabongo msimponde.

  ReplyDelete
 50. Kwn hyo picha inaubaya gani coz kila day beach tunawaona..?fanyeni yenu au kisa supar star..?nice girl yu lk gud lk rihana."

  ReplyDelete
 51. GOOD WEMA dc z a supa charactrz structr

  ReplyDelete
 52. kila kitu kina mwanzo na mwisho,mwache a2mie muda wake.

  ReplyDelete
 53. mnaona yeye kakosea je kuna mtu ambaye hana makosa na awe wa kwanza kumnyooshea kidole au tunasema tu

  ReplyDelete
 54. nyie wote mnao diss washamba

  ReplyDelete
 55. hajui halitendalo

  ReplyDelete
 56. i think its just a picture and infact shez spikn bwt cuttn down some fats it was reasonable kuweka thi pik cos its INSTAGRAM n ppo post FOTOZ there nat STATUS.. thr z natn quite embarrassn or abusive wt the pik n kwanza its her body n its her lyf so kuliko kutek tym kumjudge kwamba she will burn in hell ad say yu tek thi tym to pray fi yo heaven peace... everyone does crazy stuff at sme point in their lives, if yu havent then something is wrong,FIX IT.. am jus sayn my heart and fo the record i DONT FANCY wema neverthilec i SERIOUSLY HATE second gods(thoz hu love judging others)

  ReplyDelete
 57. mjinga tu!!!!!!

  ReplyDelete
 58. She is unethical ameona aoneshe maungo yake ya ndani kutake attantion za watu na mpaka ameweka live ivo lazma atakua, malaya kwa kua amezoea kuonesha onesha wareja zake so haoni kama ni ishu...!

  ReplyDelete
 59. kitovu tu unakojoa

  ReplyDelete
 60. Huyo mtt mwachen jaman,ni mkal.

  ReplyDelete
 61. huyo demu ni malaaaaaa kchiz kama kyake imuwash ailet tikune.

  ReplyDelete
 62. mwanamke kujiheshim bana,mwili ni hekalu la mungu. loh,unatia aibu mdada,mbona ww ni mzuri 2? shida yako ni nn?

  ReplyDelete
 63. soon ataanza kueti x we muache kujifanya anataka antention za watu

  ReplyDelete
 64. jamani its haaaa liiiiifeeee....! remember that when you talk about it.., sijaona cha ajabu kwenye hiyo picha, acheni ushamba.. wema ur so gorgeous.. i luv u coz ur not fake na hauogopi kuishi maisha yako wewe kama wewe... ooooh mara simu kwa x... oooh mara picha.. unawakereketa mwaya... wivu ni ugonjwa, nawaombea quick recovery...i love u sooo much wema and u will always be my no.1girl in tz...

  ReplyDelete
 65. NAOMBA MUNGU AFE MAPEMA TUFURAI SANA

  ReplyDelete
 66. hatarrrrrrrrrrr........

  ReplyDelete
 67. kujitambua ni kitu muhumu saaaaaana.keep in touch.

  ReplyDelete
 68. dah t cmc many people they dont want you my wemaaaaaaaaaaaaaa.....but ua ex-boy alisema....mti wenye matunda ndo unapigwa mawe.....ubaya wao wengi kayumba na kwamba elimu walitupa sadakalawe...m2 unashoboka kumsema wema....but it is possible ww ni mchafu kuliko yey,letc not be like that bhana.....kizuri kipe sifa zake bhana......wema mamy u rock always.....

  ReplyDelete
 69. mwambie avue na sidiria aonyeshe mtindi ulivyo chacha ushatumika sanaaa

  ReplyDelete
 70. kwa kuiga ddangu uko juu maana sielewi haya kayatoa wapi hapa Tanzania

  ReplyDelete
 71. huyu dada kashapotea!

  ReplyDelete