JCB afunga ndoa na girlfriend wake wa kitambo,Diana
Jorgensen ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini Arusha
Jorgensen ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini Arusha
Jcb akipitia makaratasi huku mke wake akicheza na pete na maua na mwanae
Baada ya kufunga ndoa, kinachofata huwa ni picha na hapa ni akiwa na ndugu jamaa na marafiki








8 comments:
Hongera zao, untill death do them aparty.
oyoooo jiko ilooo.lkn vp sjajua anatoke nchi gan uy manz?
datc gr8t hongera xana
Mambo bado yanaendelea vijana wanapenda kuolewa na wazungu bado linex linenga muda mfupi ujao
hongera zao, big tym!
Hongera zao, big tym!!
hongera zao, big tym!
hongera chalangu. Ila umeingia uko uku tuachie usirudi tena milele. Ameeen...
Post a Comment