May 23, 2013

DIAMOND AENDELEA KULA MASHAVU SASA ANAELEKEA COMORO

Akiwa hajamaliza wiki mbili  toka atoke kwenye tour, leo hii kupitia katika ukurasa wake wa instagram Diamond amepost picha hii huku pembeni akiwa mtu mwenye asili ya Asia ambaye ni promoter, ikimuonyesha akisaini mkataba nae kwa ajili ya safari ya kwenda Commoro na kuandika  #After I did the Uk,Congo,Burundi,......guess where next i ll be headed"
DONE DEAL!!!.... #COMORO! #COMORO! #COMORO! 22nd/June/2013... on Ma way Darlin #Wasafi.


Baada ya kumaliza kusaini mkataba wake aliweza kupost hii picha ya pili...(Mkataba)

1 comments:

  1. Angepost hata sehemu yenye kuonyesha pesa

    ReplyDelete