May 23, 2013

FAHAMU ALICHOKIANDIKA ODAMA JUU YA MOVIE HII MPYA 'WITCH DOCTOR'

 Msanii wa bongo movie maarufu kama Odama kupitia katika ukurasa wake wa facebook aliweza kupost cover ya movie yake mpya na kuandika maneno haya hapa.
  -Kampuni ya J-FILM 4 LIFE inakuletea filamu mpya ya kipekee na ya kusisimua itakayojulikana kwa jina la “Witch Doctor”,,,,,, kutokana na maoni ya wadau wangu wengi nimewaletea filamu hii ya kitofauti kabisa kwani mimi na crew yangu tunathamini uwepo wa maoni yenu…… Nawapenda wote!!!!

0 comments:

Post a Comment