May 23, 2013

HEBU ANDIKA MAELEZO YA PICHA HII

Ney wa Mitego, girlfriend wake Siwema na Diamond

12 comments:

 1. Mi nimependa jina la demu ake ney,sasa apo dimond analazimisha wenzake kufanya mambo hayo hadharani anasahau kua huyo si wema anaefanyaga nae hadharani yy....lol

  ReplyDelete
 2. Mapenzi sio siri tena kwa karne hii.

  ReplyDelete
 3. Mwambie amuweke mbali na diamond maana huyo dai ni hatari

  ReplyDelete
 4. 21st century hii!kila ki2 hadharan

  ReplyDelete
 5. Duu jamaa inabd 2fate mila na desturi ze2 za Tz

  ReplyDelete
 6. Akae mbali na dai teh teh teh

  ReplyDelete
 7. Usikatae bana we nay vipi mbona unakua kama mshamba vile

  ReplyDelete
 8. big up kaka ney kifaa hcho

  ReplyDelete
 9. wacheni ujinga huo dada zenu wapake bleach nanyinyi pia nyote mashoga nyinyi PARDO HIDAL

  ReplyDelete