May 21, 2013

NU VIDEO: ZAGA ZAGA BY WITNESZ FEAT OCHU SHEGGY
nakumbuka miezi kadhaa iliyopita Witnesz alithibitisha kuachana na mume wake wa ndoa, Mokey bila kutoa sababu hasa ni nini, baada ya kuandika haya

”Hi,I want to tell every one kwamba am no longer married to Mokeys.I wanted you to know from me and please don’t asky why.Much Love”.

lakini nikiitizama na kuisikiliza video hii, inaonekana ni kama mwadada ameamua kuonyesha feelings zote za kuachana na jamaa huyo ndani ya wimbo huu, huku akisifia microphone na kuisifia kuwa iko nae muda wote anaotaka sio kama wale wasaliti zaga zaga,microphone inampa heshima na haimshushii heshima kama hao wengine
hayo maneno yayonifanya kufikiria kuwa anazungumzia mahusiano yake, au we unaonaje, anazungumzia mahusiano yake au la?

0 comments:

Post a Comment