May 22, 2013

PICHA:AJALI MBAYA YA MAGARI MATATU LEO CHANG'OMBE JIJINI DAR

Ajali mbaya iliyohusisha magari matatu imetokea katika barabara ya Chang’ombe jijini Dar es salaam na kusababisha msongamano mkubwa wa magari; na watu kuchota mafuta yanayomwagika kutoka kwenye Lori hilo.


0 comments:

Post a Comment