May 7, 2013

VIDEO YA KILICHOTOKEA KATI YA CHIDI NA PINA NDANI YA MAISHA CLUB NA ALICHOKISEMA CHIDI BENZ


"mimi jana nilienda maisha mida flani kama ya saa tisa hivi sawa, nikamuona yule Nikki mbishi, halafu nikaona aaah sijawahi kumpa sapoti hafu mbali ya hiyo, namsikiaga kuna mtu anatutukanaga, anamtukanaga Nikki Mbishi yule mtoto ananitukanaga na mimi unanielewa, kwahiyo nikasema anyway for the support, na yule ni kama mdogo wangu, mi natokea pale kwenye stage, i know kwa kawaida mi nikitokea sehem lazima watu washangilie sana na watu wameshangilia sana ile club maisha, so nia yangu ilikua mimi pale ni kuchukua ile mic, ki ukweli hata nilikua sijui ni show ya nani, nachojua nikwamba nilimuona Nikki nikazunguka halafu kutoka VIP kwa nia moja yaani kabisa kwamba namfata yule Nikki pale nikitokea stage najua watu watapiga yowe nampa sapoti pale nachana nini bana sapoti kwa Nikki Mbishi nini halafu mimi najikata, nikachukua mic kwa zilla ni kwamba watu wameshangilia nikapiga verse kidogo pale watu wakashangilia, nikataka kusema bwana shout out kwa nikki mbishi nimependa show yake anavyofanya..........

kumbe ile show ni ya kina Pina na wala hakuna ubaya mimi kupanda stage na kutaka pale kutoa shout out eidha kwa Nikki au kwa yeye Kala Pina au msanii yoyote yule ambae namzuka nao kwa hiyo pina na wenzie wametokea kwa nyuma mmoja akanisukuma  pina ye akanipiga ngumi, nilikua namsikia mtu kama anasema asiehusika na hii show ashuke, sikujua kama ni kala pina, ningejua kama ni yeye ningejua ni ize yeye ni msanii wa hiphop na mi ni msanii wa hiphop.

kumpiga mtu ni hali ya wewe na yeye mpigane puuuh puuuh puuuh mtu mbili halafu ukanipiga, ndio uwaambie watu umempiga Chidi Benz, sio nyie mmetokea kwa nyuma, mgongoni kwangu huku mmekuja mkanisukuma mmoja kanipiga ngumi, mpo ishirini sijui wangapi show yenu kumbe maisha club, mnasema mmenipiga???? we unaonge mtu umempiga

hakuna mtu ambae hajui, hakuna msanii ambae hajui, zamanai nilikua nagombana na kina pina kwasababu walikuwa wanawaonea wasanii, walishawaonea wakina mangwea, o ten, mimi nipo na kina FA namkimbiza pina na kundi lake mimi, yeye na anajua, so mi hapa hajawa hata mara moja kunichengua, wao wameshawahi kufanya ugomvi na mimi msasani club, mimi peke yangu wao kibao na wakanishindwa umenielewa sijui, kwa hiyo pina sio kwamba mimi ananiweza yule ni jitu tu na manyama yake kibao"


12 comments:

 1. Hahahahaha nimeipenda sana hii maana yeye chid ni mbabe leo amekutana na watoto wa kiume

  ReplyDelete
 2. safi sana chidi........masela viboga ndo dawa yao...................i knw hawakuwezi kwa palingi m2 bee hata chee......mamae zaoo

  lil-dice de king

  ReplyDelete
 3. AAAAAARRRRGGGh....chd Unzingua nowdays....BADILIKA

  ReplyDelete
 4. simpenzi chidi anapenda ugomvi si jui hua anawaza nini kwanza siku hizi kumpiga mtu ni kujitakia matatizo kuna watu wanaradhi yao kupakana damu mtakuja juta

  ReplyDelete
 5. story yake ni ya kitoto sana hivi ni kweli hakujua ile show ni ya kina pina anafikili watu wajinga wenzako waandae wewe uchukue mike upande stajini umeitwaaa na wasiwasi na hata huyo aliyempa mike ni msaliti

  ReplyDelete
 6. muziki na ubabe mbali mbali nguvu zako onyesha kwenye muziki wenyewe sio kupigana pigana sikupendi chi kishez nampenda ney wa mitego na kala pina wamekaa kiume sana wanaonekana wanaume kweli wanawake hua tunawapenda sana

  ReplyDelete
 7. ni utoto tuu wakikua watacha

  ReplyDelete
 8. chid benz king kong mimi nataka upambane na ney wa mitego,pina humuezi hata kidogo yule mwili nondo aisee utaumia pale mulize dudu baya

  ReplyDelete
 9. Naamini chid kakosea unawezaje kupanda jukwaani pasipo kujua hata show imeandaliwa nani!. pili unawezaje kuchukua maiki kwa msanii mwazio pasipo kuruhusiwa na MC. Tatu yawezekani pina amekosea kumpiga chid . Tatizo wasani wetu wanafanya kazi ya sanaa pasipo kuelewa wakati gani wafanye nini. Ni mtizamo tu.

  ReplyDelete
 10. Pina mxela mav.

  ReplyDelete
 11. king kong shout out 2ya, xaund senc

  ReplyDelete