Jun 1, 2010

G5 CLICK WAJIPANGA KUUSAFIRISHA MZIKI WA BONGO MAJUU


DEM AMZUSHIA VARANGATI DIAMOND


Mwezi wa Tano unaonekana kuwa ni mbaya katika maisha ya Mshindi wa tuzo tatu za Kilimanjaro Music Award Diamond Platinum kwani siku ya Ijumaa saa 12 asubuhi ndani ya ubingo stand alipokuwa akiongozana na Mwanadada ambae bado hajajulikana jina lake, walifanyiwa vurugu kubwa sana.

Inasemekana Dem aliyeongozana na Diamond ndiye sababu ya Varangati hilo kwani alivaa kiguo kifupi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake hivyo jamaa kibao a.k.a MASELA wakamvamia dada huyo na kuanza kushika shika live live huku wakimuacha Diamond kaduwaa asijue la kufanya.
Tulipompigia simu Diamond Platinum ili athibitishe habari hii simu yake haikuwa inapatikana hewani.