Nov 1, 2010

DIAMOND KUELEKEA NCHINI UINGEREZA KESHO


kesho asubuhi mtu mzima Diamond ndio atakuwa anakisanua kuelekea Uk. London,Birmingham, manchester na kwingineko kwa ajili ya zira ya mwezi mzima ya kupinga vita dhidi ya malaria. ZINDUKA MALARIA HAIKUBALIKI

WAKAZI freestyle featuring HASHEEM THABEET Part 2


Wakazi droppin verse after verse, freestyle after freestyle (yes it is a freestyle) and givin a glimpse of new stuff comin out soon. Hasheem Thabeet showin support to the whole new era music and bongo hip hop. we support art and recognize talent, we urge you to do the same, big up to those shouted out plus the ons forgotten....tupo pamoja (continuation)

WAKAZI FREESTYLE FEATA HASHEEN part 1

P FUNK MZIGONI NCHINI MAREKANI

mtu mzima P funk majani akiwa nchini marekani kwa ajili ya hollyday na bata za hapa na pale lakini pia ameingia studio kwa ajili ya kutengeneza ngoma na msanii kutoka nchini kenya NO NINI