Feb 1, 2013

JULIO: TID ANAFAA KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA BBA 2013

Mwakilishi wa mwaka jana katika mashindano ya Big Brother kutoka hapa Tanzania maarufu kama Julio siku ya leo baada ya kutambulisha ngoma ambayo amepewa collabo na producer Lucci.aliweza kusema kwamba TID anafaa sana katika mashindano ya Big brother kwasababu ni mcheshi pia ni mtu mwenye sifa zote za kushiriki shindano hilo la Big Brother.info by Julio ndani ya Double XXL.

NGOMA MPYA YA HAKEEM 5 HII HAPA "NITUNZIE"


WEMA SEPETU ACHUKUA FOMU KUSHIRIKI BBA 2013

 
Muigizaji Wema Sepetu, leo hii ametia tim offisi za Multchoice na kuchukua form kwa ajili ya kushiriki kwenye mchakato wa kwanza wa shindano la Big Brother  Africa BBA, 2013