Pages

Staili Mpya ya Nywele ya Wema Sepetu yawa Gumzo Mtandaoni..Wengi Wamsifia Wachache Wasema Haya

 Picha za Wema Mpya Alizoweka Jana kwenye Mtandao wa Instagram Akiwa arusha na Mashabiki wake zimezua Mjadala huko Instagram Huku wengi wakimsifia kwa jinsi alivyopendeza na mkata huo wa nguvu baadhi ya wachache ambao inaaminika ni mashabiki wa Zari walitoa maoni yao na kusema kumbe hata wema hana nywele za mbele kama
Zari ...ikumbukwe kipindi cha nyuma Team Wema Sepetu Walikuwa wakimkejeli Zari kuwa anakipara .....

Je Wewe Msomaji Una Maoni Gani ? Angalia Picha zingine Hapa Chini:8 comments:

 1. Mwache bhana maana tunakoelekea atasababisha dada zetu wawe na vipara sugu

  ReplyDelete
 2. Beautiful girl and all Nice photos. I love that.
  Thank you for your post.
  Trương Cầm
  Beautyful girl at Sakura Beauty Corp

  ReplyDelete